Politics

Wednesday, August 15, 2012

Katika kuendeleza wimbi la kuhabarishana sasa nimekuja na kipeperushi yaani hiyo ni Blog yangu nyingine naona tutaendelea kuhabarishana kupitia blog hii.
Cha msingi ni kwamba kuwe na kukumbushana kila linapotokea jambo ambalo kwa namna moja ama nyingine lahitaji kusemewa.
mfano mambo ya kisiasa kimapenzi na mambo mengine yanahitaji watu kuzungumza na kubadilishana mawazo.

Tuwe na UWAZI


No comments:

Post a Comment